20 Oct 2026 1:47 pm | Citizen TV 1,229 views Duration: 2:06 Waziri Mkuu wa Ethiopia Aby Ahmed akihutubu kwenye sherehe hizo za kitaifa amesifia uhusiano baina ya kenya na Ethiopia na kusema kuwa uhusiano huo utaendelea kwa faida za wananchi wa mataifa hayo mawili.