21 Aug 2026 1:08 pm | Citizen TV 277 views Duration: 1:44 Waziri wa Elimu Julius Ogamba amkosoa kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kwa kile alichotaja kuwa kuendeleza siasa za kikabila, akisema kauli hizo sasa zaathiri hata wanafunzi ambao hawahusiki na mizozo ya kisiasa.