- 476 viewsDuration: 1:18Mutahi Kagwe amewataka wabunge kuharakisha kupitisha miswada muhimu ya kilimo kabla ya mwisho wa mwaka 2026, akionya kuwa kucheleweshwa kwa marekebisho hayo kunaweza kutatiza utekelezaji wa mageuzi muhimu taifa litakapoingia katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.