Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe azindua ukarabati wa bwawa la Ndigiria Kilifi

  • | Citizen TV
    171 views
    Duration: 1:15
    Waziri wa kilimo, Mutahi Kagwe, amezindua ukarabati wa bwawa la maji la Ndigiria mjini bamba, kaunti ya Kilifi, kwa gharama ya shillingi milioni 79, katika juhudi za serikali kuimarisha utoshelevu wa chakula kupitia umwagiliaji na uhifadhi wa maji.