Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa nishati na petroli Opiyo wandayi amepuuzilia mbali madai ya Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    1,834 views
    Duration: 1:03
    Waziri wa nishati na petroli Opiyo Wandayi apuuzilia madai ya kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua kuhusu udhibiti wa gesi ya kupikia. Akizungumza na wanabari jijini Nairobi, Wandayi asema mchakato wa kutafuta kampuni ya kufuatilia mitungi iliyosanifiwa ya gesi bado haujakamilika. Aidha, aonya kuwa serikali itazidisha msako dhidi ya wale wanaohusishwa na biashara haramu ya gesi.