Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa uwekezaji Lee Kinyanjui ataka wanasiasa kulinda mazingira ya uwekezaji

  • | Citizen TV
    294 views
    Duration: 1:38
    Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda, Lee Kinyanjui, amewataka viongozi wa kisiasa kulinda mazingira ya uwekezaji nchini kwa kuepuka siasa ambazo zitayumbisha imani ya wawekezaji.