Wadau katika Kaunti ya Magharibi wamezitaka serikali za kitaifa na kaunti kuweka bajeti za kutosha kwa ajili ya huduma za watu wenye ulemavu, kutokana na mapungufu makubwa katika huduma za afya na msaada kwa kundi hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya