- 2,216 viewsDuration: 2:24Makanisa katika kaunti ya Kirinyaga yageuka malengo ya wezi, katika wimbi la uvamizi linalozua maswali kuhusu usalama wa maeneo ya ibada.huko Muragara, ndia, wezi walivamia makanisa mawili na kuiba vifaa vya umeme vyenye thamani ya takriban shilingi laki nne, lakini kilichowashangaza waumini ni kwamba washukiwa hao wanadaiwa kula komunio na kunywa divai ya kanisa kabla ya kutoroka