22 Apr 2026 1:25 pm | Citizen TV 406 views Duration: 1:21 Wizara ya Afya imeonya kuhusu kuongezeka kwa hatari ya mlipuko wa magonjwa nchini kutokana na ongezeko la taka zisizosimamiwa ipasavyo, hasa katika miji mikubwa.