Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Afya yazindua mwongozo wa kuzuia kujitoa uhai

  • | Citizen TV
    431 views
    Duration: 1:25
    Wizara ya Afya imezindua kitabu cha mwongozo wa kuzuia kujitoa uhai. Viongozi wa dini wametajwa kuwa na nafasi muhimu katika kuwasaidia watu wanaokabiliwa na msongo wa mawazo