- 710 viewsDuration: 2:13Wizara ya Elimu imetangaza mipango ya kufanya marekebisho kwenye kalenda ya masomo kuanzia mwaka ujao. Waziri wa Elimu Migos Ogamba, akijibu tetesi kuwa muhula wa pili ni mrefu zaidi, amesema kuwa wanafunzi wamelalamikia kuchoshwa na hivyo mara nyingine kusababisha migomo shuleni. Wizara ya Elimu pia imebuni kamati maalum kuchunguza migomo shuleni.