Skip to main content
Skip to main content

Wizi wa mifugo Kericho: Washukiwa wawili na mwanamke mmoja wafariki kwa kujeruhiwa na umati

  • | Citizen TV
    2,056 views
    Duration: 2:46
    Washukiwa wawili wa wizi wa mifugo waliuawa kwa kuteketezwa huku mwingine mmoja akipigwa hadi kufa na wakaazi katika kijiji cha Yakwai eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho. Wakazi wanasema washukiwa hao walifumaniwa Jumapili asubuhi walipokuwa wakisafirisha ng'ombe wanaoshukiwa kuibwa kwa kutumia lori ambalo pia lilichomwa.