9 Sep 2026 1:40 pm | Citizen TV 5,475 views Duration: 1:25 Wakazi wa Embakasi South wamelalamikia kuongezeka kwa wizi, wakisema wanaibiwa pesa na simu hata mchana. Wezi wanadaiwa kutawala mitaa ya Embakasi Village, Pipeline na Fedha.