- 428 viewsDuration: 3:57Zaidi ya wanawake 2,000 katika Teso Kusini wameungana katika mashirika yanayolenga kuwawezesha kiuchumi kupitia kilimo biashara. Ushauri nasaha pia umesaidia baadhi ya wanawake waliokuwa wakipika pombe haramu kuanza shughuli za kilimo katika Busia.