- 332 viewsDuration: 2:57watu zaidi ya 150 wenye ulemavu katika Kaunti ya Nandi wamepokea viti maalum vya magurudumu kutoka Chuo Kikuu cha Eastern Africa, Baraton kwa ushirikiano na shirika la Chair the Love pamoja na Serikali ya Kaunti ya Nandi. Katika hafla hiyo iliyofanyika eneo la Chesumei, watoto wenye ugonjwa wa usonji walikuwa miongoni mwa wanufaika .