Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu 80,000 washiriki Mater Heart Run kuchangia matibabu ya watoto

  • | Citizen TV
    544 views
    Duration: 1:13
    Zaidi ya watu elfu themanini kutoka sehemu mbalimbali nchini leo walishiriki mbio za Mater Heart Run jijini Nairobi kwa lengo la kuchangisha shilingi milioni 150 kuwasaidia watoto wenye magonjwa ya moyo.