Skip to main content
Skip to main content

Zelensky afanya mkutano wa kutafuta amani Ukraine.

  • | BBC Swahili
    1,808 views
    Duration: 5:27
    Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky amekuwa mjini Paris ufaransa leo kwa ajili ya mkutano wa washirika wa Kyiv unaojulikana kama muungano wa mataifa yenye nia njema, yaani Coalition of the Willing kwa kimombo. Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alisema nchi kadhaa sasa zimejitolea kuchangia katika usalama wa Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw