Mzaliwa wa Kenya ashinda kiti cha ubunge Marekani
Mmarekani mzaliwa wa Kenya, Huldah Momanyi, ameweka historia baada ya kushinda kiti katika Baraza la Wawakilishi katika jimbo la Minnesota.
Momanyi, 39, anakuwa mwanasiasa wa kwanza mzaliwa wa Kenya kushikilia wadhifa wake nchini Marekani.
Momanyi alizaliwa katika Kaunti ya Nyamira, Kisii Magharibi mwa Kenya mwaka 1985, Alihamia Marekani pamoja na wazazi wake akiwa na umri wa miaka tisa.
Mwandishi wa BBC @roncliffeodit amezungumza na Huldah Momanyi.
#bbcswahili #kenya #uchaguzimarekani2024
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Gunshots were fired during Gachagua's event on Thursday.
15 May 2025
- The highway will help address the prevalent congestion along the major highway.
15 May 2025
- This comes after the court ordered the accused to be remanded at the Industrial Area Prison until Monday, May 19,
16 May 2025
- Nairobi City Thunder will make their historic debut at the Basketball Africa League (BAL) Nile Conference on tomorrow when they take to the court at the BK Arena in Kigali, Rwanda. The Kenyan side, who are the country’s first-ever representatives in the…
16 May 2025
- 24 million Kenyans wear mitumba: Report
16 May 2025
- PS Omollo: Homa Bay ready to host Madaraka Day celebrations
16 May 2025
- Residents protest neglect of colonial-era DC's office
16 May 2025
- PSC distances itself from UoN leadership wrangles
16 May 2025
- Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
16 May 2025
- Gachagua's party joins country's growing special-purpose vehicles
16 May 2025
- Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab
16 May 2025
- Tower of babel: Security chiefs at odds as Kenya faces mounting threats
16 May 2025
- Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder