Skip to main content
Skip to main content

Tofauti ya uchaguzi wa Zanzibar na Tamzania?

  • | BBC Swahili
    21,842 views
    Duration: 3:01
    Visiwa vya Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini kisiasa na utawala, vina mifumo na utaratibu wake wa kipekee. Wakati uchaguzi unapokaribia, hebu tuangalie jinsi historia, utambulisho na madaraka yalivyounda nafasi ya kipekee ya visiwa hivyo ndani ya Muungano. Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure ametembelea visiwani Zanzibar na kutuandalia taarifa hii. 🎥: @frankmavura