Wanafunzi wanne kufanyia mtihani polisi kuhusiana na mauaji

  • | Citizen TV
    799 views

    Watahiniwa wanne waliokamatwa Jumapili baada ya vita kuzuka katika shule ya upili ya wavulana ya Shiners katikana kusababisha maafa ya mtahiniwa mmoja wanafanya mtihani wao wa kitaifa wa KCSE katika kituo cha polisi cha Gilgil, kaunti ya Nakuru