"Naapa kuilinda Syria," Al sharaa. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,203 views
    Rais wa Syria Ahmed Al Shraa amesema kulinda jamii ya Druze ambao ni raia wa Syria ndio jukumu lake kuu kwa sasa, hasa bada ya makabiliano ya hivi maajuzi ambapo watu zaidi 350 walifariki.