- 77 views
Wanaogua kisukari wanatakiwa kuchunguzwa macho yao kwani kuna dalili kubwa za kupoteza uwezo wa kuona ama uwa kipofu kabla ikiwa hawatashughulikiwa mapema. Daktari kaushnik solank ambaye ni mwanzilishi wa hospitali ya eye and u kenya amesema kuwa tatizo hilo lisiposhughulikiwa kwa dharura idadi ya watu wanaopufuka nchini itaongezeka. Anasema amekutana na wagonjwa wengi wa macho ambao hali yao haiwezi kurekebika baada ya kuvamiwa kwa kiasi kikubwa na kisukari na kukosa kutembelea madaktari wa macho ili kuzuia madhara ya maradhi hayo kwa macho. jana ilikuwa siku ya kimataifa ya ugonjwa wa kisukari
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Wanaogua ugonjwa wa Kisukari waonywa athari ya kupoteza uwezo wa kuona ama kuwa kipofu
- 11 Aug 2025 - Treasury Cabinet Secretary John Mbadi intends to engage officials from the ministry of education over school capitation crisis.
- » Bella Comedy: Viral assault on Kalenjin female comedian sparks outrage, calls for arrest of perpetrator11 Aug 2025 - A disturbing assault caught on video showing a businessman going by the name Pavilion physically attacking a female content creator, Bella Comedy, at the Kutiti Festival at Nairobi's Carnivore Gardens has triggered widespread outrage.
- 11 Aug 2025 - The British High Commissioner to Kenya, Neil Wigan is set to depart Kenya at the end of August marking an end to his 2 year tenure at the position.
- 11 Aug 2025 - CBK has been having a back-and-forth with banks on borrowing rates.
- 11 Aug 2025 - The President praised Harambee Stars for their “phenomenal” win over Morocco
- 11 Aug 2025 - Joho urged residents not to be misled by politicians seeking to incite them against the president and his administration.
- 11 Aug 2025 - Kindiki said that no previous government had done as much to improve sports facilities and support talent development
- 11 Aug 2025 - Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
- 11 Aug 2025 - Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
- 11 Aug 2025 - Gachagua stares at an arrest upon return.