Kamati ya Seneti kuhusu Elimu yatoa malalamiko kuhusu kudorora kwa hali ya ECDE

  • | NTV Video
    23 views

    Kamati ya Seneti kuhusu Elimu sasa imetoa malalamiko kuhusu kudorora kwa hali ya elimu ya chekechea yani ECDE katika kaunti 19 walizozitembelea, huku wakizilaumu kaunti kwa kukosa kuipa kipaumbele elimu hiyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya