Rais Ruto awataka mawaziri na makatibu kutekeleza wajibu wao ipasavyo

  • | Citizen TV
    366 views

    Rais William Ruto Amewataka Mawaziri Na Makatibu Wa Wizara Kuhakikisha Kwamba Wanatekeleza Wajibu Wao Ipasavyo La Sivyo Watapigwa Kalamu Na Kuondolewa Serikalini.