Wakulima waagizwa kuhakikisha wanapanda mbegu halali kutoka KEPHIS

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakulima wameagizwa kuhakikisha wanapanda mbegu Halali kutoka kwa kampuni zilizoidhinishwa na Bodi ya Kudhibiti ubora wa Mbegu ya KEPHIS.