Serikali yanuia kudhibiti ajali msimu huu wa krismasi

  • | Citizen TV
    210 views

    Mamlaka ya barabara za mashinani nchini KeRRA imeendeleza hamasisho ya usalama barabarani katika kaunti ya Trans Nzoia, ili kukabiliana na ajali msimu huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya. Na Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA pia inasema kuwa itaongeza maafisa za zaidi ili kuwanasa watakaokiuka sheria za trafiki msimu huu.