Msafara wa Sambaza Furaha na Safaricom waendelea katika kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    92 views

    Msafara Wa Sambaza Furaha Na Safaricom Unaendelea Katika Maeneo Ya Othaya, Mukuruweini, Karatina, Gatitu Na Giakanja , Kaunti Ya Nyeri. Kampuni Ya Safaricom Inasherehekea Miaka 24 Tangu Kuanza Kutoa Huduma Zake Humu Nchini.