Waathiriwa wa vita vya kikabila katika kaunti ya Tana River waitaka serikali kuwasaidia

  • | Citizen TV
    279 views

    Waathiriwa wa vita vya kikabila katika kaunti ya Tana River sasa wanataka serikali kuwasaidia kurejelea maisha yao.