COP29: Mataifa ya Afrika yataka ufadhili zaidi wa dola trilioni 1.3

  • | Citizen TV
    64 views

    Mawaziri Kutoka Bara Afrika Wameyataka Mataifa Yaliyo Na Uwezo Mkubwa Kiuchumi Kulegeza Misimamo Yao Na Kukubaliana Na Wenzao Kuhusu Fedha Za Kupambana Na Mabadiliko Ya Hali Ya Hewa.