Skip to main content
Skip to main content

Utovu wa usalama umeathiri biashara na uchukuzi Samburu

  • | Citizen TV
    459 views
    Duration: 3:23
    Viongozi wa Kaunti ya Samburu wameelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu kuzuka upya Kwa wahuni wanaolenga magari ya uchukuzi kwenye barabara kuu ya Maralal- Opiroi-Baragoi. Viongozi hao wametoa wito Kwa vyombo vya usalama kukabiliana na Hali hiyo ili kuwaondolea hofu wasafiri na madereva wa barabara hiyo