Skip to main content
Skip to main content

KTN yafichua mtandao wa kimataifa unaowateka vijana wa Kenya kupelekwa vitani urusi

  • | KTN News
    25,314 views
    Duration: 3:35
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Usiku wa leo, uchunguzi maalum wa KTN unafichua mtandao wa kimataifa wa usafirishaji haramu unaowalaghaia vijana wa Kenya na kuwatupa vitani nchini Urusi. Kwa mara ya kwanza, serikali ya Kenya imekiri hadharani kuwa raia wake wameingizwa kwenye vita hivyo. Waziri mwandamizi na pia waziri wa masuala ya nchi za kigeni Musalia Mudavadi amethibitisha kuwa Wakenya kadhaa wamekwama kwenye kambi za kijeshi nchini Urusi. Uchunguzi wa KTN unadokeza jinsi vijana hawa wanavyovutiwa na mawakala wasiojulikana wanaowahadaa kupitia visa za utalii na ahadi za ajira. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews