Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya uchaguzi mkuu Uganda. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,361 views
    Duration: 28:10
    Tume ya uchaguzi nchini Uganda imeanza kusambaza vifaa vya kupigia kura kwa wilaya mbali mbali kuelekea uchaguzi mkuu wa wiki ijayo. Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye ameongoza Uganda kwa miongo minne anawania muhula wa saba madarakani. Mpinzani wake mkuu ni mwanamuziki Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Wagombea wengine ni Frank Bulira, Robert Kasibante, Joseph Mabirizi, Nandala Mafabi, Mugisha Muntu na Mubarak Munyagwa. #BBCSwahiliLeo #Museveni #BobiWine #Uganda #BBCSwahiliDiraYaDuniaTV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw