- 12,782 viewsDuration: 5:46Watu watatu wameaga dunia baada ya kuporomokewa na jengo mtaani karen hapa jijini nairobi. Watu wengine watatu wameokolewa kwenye vifusi vya jengo hilo lililokuwa linaendelea kujengwa mkabala na kanisa la Karen Community Church kwenye barabara ya Ngong