Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye akaribishwa ikulu Nairobi

  • | Citizen TV
    469 views
    Duration: 2:05
    Rais William Ruto leo amempokea Rais wa senegal Bassirou Diomaye Diakhar Faye katika ikulu ya Nairobi na kufanya mashauriano kuhusiasana na diplomasia na biashara. Viongozi hao wamejumuika pamoja na viongozi wengine serikalini wakiwemo mawaziri amabo watahakikisha makubaliano kati ya viongozi hao na mataifa hayo mawili yanatimizwa. Mkutano huu unafanyika baada ya rais wa senegal kuwasili nchini na kuhudhuria sherehe za Mashujaa huko Kitui hapo jana