- 153 viewsDuration: 1:41Viongozi wa Turkana wametoa wito kwa serikali na wizara ya usalama wa ndani zitilie mkazo kuhakikisha usalama umerejea Kainuk, ili kuhakikishia wakaazi usalama wao Kwa kuwa eneo hilo limezidi kudorora kutokana na utovu wa usalama.