Wana anga watuma salamu kutoka angani

  • | BBC Swahili
    436 views
    Tazama Wanaanga hawa wanne wakionesha namna walivyotuma salamu na kusherehekea siku kuu ya kutoa shukrani (Thanksgiving) ikiwemo kupata mlo wa pamoja wakiwa angani. #bbcswahili #marekani #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw