- 15,717 viewsDuration: 28:10Katika siku za hivi karibuni, wapiganaji wa Hamas hawakukabiliana na jeshi la Israel tu, bali pia na makundi mengine ndani ya Gaza. Ni dhahiri kuwa kundi hilo ambalo limetawala eneo hilo kwa miaka kumi na minane linaamini bado lina jukumu kubwa la kufanya. Waandishi wa habari wa BBC wamezuiwa kuripoti kutoka ndani ya Gaza. Lakini Paul Adams ameangazia je, uwepo wa Hamas unamaanisha nini katika mustakabali wa eneo hilo? #Hamas #Gaza #Israel #bbcswahili #bbcswahilileo #petermwangangi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw