21 Oct 2025 8:02 pm | Citizen TV 306 views Duration: 1:45 Timu ya taifa kwa wachezaji wenye ulemavu wa macho ya unyanyuaji uzani iko kambini tayari kwa mchuano wa wiki moja wa dunia utakao fanyika nchini Uturuki wiki ijayo