Iran yatekeleza programu ya anga za juu ambayo inakosolewa na nchi za Magharibi
Iran ilisema Ijumaa imefanya zoezi la mafanikio la kurusha chombo cha anga za juu, kwa ajili ya programu yake mpya ambayo nchi za Magharibi zinadai inaboresha programu ya Tehran ya makombora ya balistiki.
Iran ilifanya zoezi hilo la kurusha chombo hicho kwa kutumia programu ya Simorgh, chombo cha satellite kinachobeba roketi huku mara kadhaa urushaji huo ulifeli, katika kituo cha anga za juu cha Iran cha Imam Khomeini katika kijiji kwenye jimbo la Semnan.
Hili ni eneo la programu ya anga za juu kwa malengo ya kiraia ya Iran.
Hakuna uthibitisho huru wa hapohapo kuwa urushaji huo ulikuwa na mafanikio.
Jeshi la Marekani halikutoa maoni yoyote mara moja walipoombwa kufanya hivyo.
Tangazo hilo limekuja wakati mivutano imeongezeka katika eneo kubwa la Mashariki ya Kati juu ya vita vya Israel vinavyoendelea dhidi ya Hamas katika Ukanda wa Gaza na wakati sitisho la mapigano linalolegalega huko Lebanon.
Marekani siku za nyuma ilisema urushaji wa satellite unaofanywa na Iran unakwenda kinyume na azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kuitaka Tehran kutojihusisha na harakati zozote zinazohusisha makombora ya balisitiki ambayo yana uwezo wa kusafirisha silaha za nyuklia. Vikwazo vya UN kuhusiana na programu ya makombora ya balisitiki ulikwisha muda wake Oktoba 2023. -AP
#voaswahili #afrika #israel #gaza #hamas #iran #satellite #makombora #balistiki #israel #gaza #voa
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project