22 Oct 2025 10:09 am | Citizen TV 740 views Duration: 1:16 Polisi katika kaunti ndogo ya Matungulu kaunti ya Machakos wamepata bunduki ambayo iliibwa kutoka Kituo cha Polisi cha Kinyui miezi miwili iliyopita.