22 Oct 2025 10:11 am | Citizen TV 154 views Duration: 1:23 Wakulima mpunga katika shamba la lower Kuja huko Nyatike, Kaunti ya Migori, wanakodolea macho hasara kubwa kutokana na ndege wanaovamia mashamba yao.