- 262 viewsDuration: 1:58Chama cha wauguzi katika kaunti ya Nyamira kimetoa ilani ya mgomo baada ya siku 14, wakiishtumu serikali ya kaunti ya Nyamira kwa kutowalipa baadhi yao mishahara ya zaidi ya miezi kumi, upendeleo katika kupandishwa vyeo, na mazingira duni ya kufanyia kazi.