22 Oct 2025 10:19 am | Citizen TV 175 views Duration: 1:46 Kaunti ya Wajir kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, imezindua rasmi mpango wa kuboresha upatikanaji wa elimu jumuishi.