- 311 viewsDuration: 2:27Wakazi wa Sagana, Kagio na Wang’uru wameunga mkono pendekezo la Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga kubuni manispaa mbili mpya, hatua inayolenga kuimarisha mipango ya miji na kufungua fursa za ufadhili kutoka Serikali Kuu na washirika wa maendeleo.