22 Oct 2025 10:24 am | Citizen TV 257 views Duration: 2:01 Vijana katika Kaunti ya Kwale wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kuwa wapiga kura wakati zoezi hilo linaendelea nchini.