22 Oct 2025 10:35 am | Citizen TV 1,012 views Duration: 1:32 Mamia ya vijana huko Maralal, Kaunti ya Samburu walijitokeza kwa zoezi la usajili wa makurutu wa KDF katika uwanja wa Kenyatta.