Kwanini India inatumia gharama ndogo kwenda mwezini?

  • | BBC Swahili
    545 views
    Wakati Marekani, China na Urusi zikitumia mabilioni ya dola kujaribu kufika Mwezini na Mars, India yenyewe ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa gharama za chini. Je, wamewezaje? #bbcswahili #china #india Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw