Wakazi wa MakongenI Nairobi wasema hawajalipwa fidia

  • | Citizen TV
    424 views

    Mgogoro umeibuka katika mtaa wa makongeni, Nairobi, huku wakazi wa muda mrefu wakilalamikia vitisho vya kufurushwa ili kupisha ujenzi wa nyumba za serikali