Tazama abiria walivyookolewa katika kivuko kilichoshika moto Indonesia

  • | BBC Swahili
    3,322 views
    Takriban watu watano wamefariki na wengine 284 kuokolewa katika ajali yakivuko iliyotokea kwenye ufuo wa Kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia. Abiria walionekana wakiruka ndani ya maji na jeketi za kuokoa maisha ili kujiokoa na moto huo. Jeshi la Wanamaji, Bakamla na vikosi vya uokoaji walithibitisha kuwa wote waliokuwemo wameondolewa salama. Mwandishi wa BBC @martha_saranga ametuandalia taarifa hii 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #ajali #bahari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw