22 Oct 2025 10:44 am | Citizen TV 238 views Duration: 1:21 Kina mama na wazee wakongwe wapatao elfu moja wamepewa zawadi ya blanketi na vyakula kama njia ya kusherehekea siku ya mahujaa katika kaunti ya kirinyaga.